Uly clinic ni application maalumu ya simu ya tovuti ya ulyclinic.com. App hii inakuwezesha mteja ama mgonjwa kupata taarifa za elimu ya afya, kuonana na kuweka miadi na daktari aliyepo karibu nawe, hospitali, kujua aina ya dawa, kununua dawa, kuulizia na kujua bei za vipimo za maabara karibu na wewe, kupata huduma za nesi hospital, kufanya miadi ya kufanya vipimo maabara karibu na wewe na kupokea majibu ya vipimo vya maabara. App hii ni nzuri kwa watu wanaotaka kujua kuhusu magonjwa wanayoumwa, kupata ushauri wa daktari na kutunza mda wakati wa kupata matibabu